chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
ni vizuri kujaribu, ingawa
pia wamepunguza vigezo kwa walimu kuwa wenye miaka above 50
hawatakiwi... Usikate tamaa wangu, mi mwenyewe naisubiria kwa
ham
hata mimi nahitaji kufahamu,ni wapi naweza kupata maelezo kamili?plz mwenye info
Vp watalipaje?
kazi hujapata, unawaza malipo! Wabongo bwana
kazi hujapata, unawaza malipo! Wabongo bwana
Aliyekwambia sina kazi ni nani wewe kilaza?? kukosa Field kumeshakuaribu kichwa??.......
we vipi,asa unataka watu tusijue malipo,na je kama ni jero kwa kutwa niende 2 eti kisa cna kazi?
Hiyo kazi bila shaka watapewa walimu kutuliza lile vuguvugu lao!!!!
Mbona hamtoi info zlizo nyooka?