Killy (Kondegang ) ameachia wimbo mpya unaitwa Roho

Killy (Kondegang ) ameachia wimbo mpya unaitwa Roho

Kichwa Ze Don

Senior Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
198
Reaction score
321
Leo 2/6/2021 msanii kutoka Label Ya Konde World Wide Music ameachia kibao chake kinachoitwa ROHO...

Unaweza kusikiliza kibao kupitia mitandao mbalimbali...

Kwa Maoni Yangu Dogo Its Great Song

FB_IMG_16226429420024338.jpg

 
Uwa napenda wimbo wake wa rudi ule kabla hata hajajiunga na kings music video kafanya nisher.
Halafu sikuwahi kujua kuwa ndo killy huyu nimejua last week.
 
Uwa napenda wimbo wake wa rudi ule kabla hata hajajiunga na kings music video kafanya nisher.
Halafu sikuwahi kujua kuwa ndo killy huyu nimejua last week.
Dogo anajua.

Vijana wote waliokuwa Kings Music wakiwemo Cheed na K2ga wako vizuri. Ila Kiba yuko slow sana.

Yeye tayari ana brand kubwa, lakini utaratibu wake unamuumiza K2ga na Tommy flavour kwasababu bado ni wasanii wadogo, walipaswa kufanya kazi nyingi.

Afadhali hao kina Killy na Cheed wameenda kujaribu maisha Kondegang.

Sijui kwanini Alikiba hataki kuajiri Managers wamsaidie kupush Kings Music.

Tommy flavor na K2ga wana vipaji lakini Alikiba nguvu yake imekuwa ndogo.
 
Dar es salaam yote joto kali kuanzia January mpaka December.
Mbezi beach, Mbweni ni moja ya sehemu zisizo na joto.

Hata hivyo maofisini watu wanakaa kwenye viyoyozi kwahiyo baridi inakuwepo.
 
Back
Top Bottom