Jamani kilimanjaro ni tamu ni wakati sasa wa serikali kufikiria kuiweka kwenye nembo ya taifaa naandika haya nikiwa upande flani huku kaskazini
Niambieni huko kwenu B gani inakonga nyoyo chap kabla uzi haujafutwa...[emoji3062][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]