Kilo 150 za mirungi zakamatwa kiteto

Kilo 150 za mirungi zakamatwa kiteto

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jeshi la polisi limekamata kg 150 zikiwa zimepakizwa na pik pik mbili tofauti

Ingawa mirungi imepatikana kg 150 na pikpik zimekamatwa

Madereva husika wamekimbia (hapa ndipo najiulizaga).

Hawa nsdio tunafikiria watatupa michongo mizima nani kawatuma wanapokea toka wapi namba zao sasa mkatuletea tumekamata mizigo wahusika wamekimbia bado sisi tunataka hao waliokimbia

Hatahivyo pongezi kubwa jeshi la polisi na walioshiriki kukamata huu mzigo maana si mchezo. Hili zoezi liwe endelevu
 
Waongo hao hazikuwa kilo 150, huo mzigo nilibeba mimi na rafiki yangu na kila mtu alibeba gunia kubwa la mirungi karibia kilo 200 yote mawili kilo 400. Sasa hizo kilo zingine ziko wapi. Me naomba tu waturudishie pikipiki zetu gomba wabaki nazo.
 
Back
Top Bottom