Hawa nsdio tunafikiria watatupa michongo mizima nani kawatuma wanapokea toka wapi namba zao sasa mkatuletea tumekamata mizigo wahusika wamekimbia bado sisi tunataka hao waliokimbia
Hatahivyo pongezi kubwa jeshi la polisi na walioshiriki kukamata huu mzigo maana si mchezo. Hili zoezi liwe endelevu
Waongo hao hazikuwa kilo 150, huo mzigo nilibeba mimi na rafiki yangu na kila mtu alibeba gunia kubwa la mirungi karibia kilo 200 yote mawili kilo 400. Sasa hizo kilo zingine ziko wapi. Me naomba tu waturudishie pikipiki zetu gomba wabaki nazo.