Kiluvya na kibaha wapi ni mahali sahihi kumiliki kiwanja

StorytellerJr

Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
40
Reaction score
56
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Kati ya hayo maeneo mawili wapi ni pazuri zaidi kumiliki kiwanja cha makazi ukumbuke kiluvya ni mwanzoni kabla hujafika kibaha ukiwa unatoka Dar es Salaam naomba maoni yenu
 
Tafuta pesa mkuu,viwanja vya kumiliki ni kuanzia kimara hadi mbezi beach,huko unapotaka kununua ni bora uje tununue huku Singida mitaa ya gineri
 
Mwendokasi inafika mzee kiluvya kama nyuyoki [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1]
 
Tafuta pesa mkuu,viwanja vya kumiliki ni kuanzia kimara hadi mbezi beach,huko unapotaka kununua ni bora uje tununue huku Singida mitaa ya gineri
Gineri viwanja bei gani, nataka nihamie singida nifaidi watoto wa kinyaturu na kuku wa pale stendi ya zamani
 
Back
Top Bottom