kiluvya kwa komba ni pazuri, inategemea umepata upande gani ila sio pabaya.
Njoo Bunju, kama hicho unapata kwa 5m
Mkuu nimepata upande wa kushoto kama unaenda kibaha nadhani wanasema ni kisalawe
Kila Mahali Pazuri
karibu Chanika Buyuni kwenye mradi viwanja vya kisasa kama europa ,...ila bei zimechangamka!
Ulichukua wapi. Mrejesho?Wakuu habari ya muda huu, naombeni ushauri juu ya haya maeneo.nimepata viwanja viwili pande zote mbili vipo sawa kwa vipimo yani 30*40 na bei kote ni 6m cha kiluvya kipo kwa komba na chanika kipo mji mpya (kibaoni) naombeni ushauri wapi ni bora ukiangalia kuwa na maendeleo ya haraka.Natanguliza shukrani