Kim and Kanye’s Wedding

Kim and Kanye’s Wedding

Nimeipenda sana hii harusi,
Hongera zenu vijana.
 
Wamependeza sana;
Kweli wamependezana.

Kati ya waalikwa ni Obama,
hivi alihudhuria?
Mie nilivofurahi utadhahni ni ndugu zangu, nawapenda maharusi. Walipendeza mnooooooo, hapa Kanye na Kim wakati wanaondoka North anaonekana kwa mbaaaalii.

Safi sana.
 
Wamependeza sana;
Kweli wamependezana.

Kati ya waalikwa ni Obama,
hivi alihudhuria?

Obama???
Hata angekuwa alialikwa sidhani kama angeenda. Hawajatoa list ya waliokuwepo na hivi wametuchagulia pic si rahisi kujua kwenye hili.
 
Hee!! Ndiyo nani hawa jamani!! Kim, Kimathi au? Kanye!! Mh! Kanye tena! Ha ha aaah! Sasa hapo Kim ni nani na huyo Kanye ni nani!? Mwee!!
 
Back
Top Bottom