Naona kama kampiga chini kwa mbali sana mwana wa mfalme.
eti this dress na lile la harusi ya pili lipi bomba
mambo ya manoti bhana ni hatari.
Nasikia Vicky Kamata alipania kuvunja hiyo record ya Kanye na Kim!
Ndiyo maana hajavaa shela kumbe anapasha kiporo, mmmmh.
eti this dress na lile la harusi ya pili lipi bomba
........ Nje kidogo ya mada
nipe reputation walau nilambe dume kwa Paw leo;
La pili alipendeza especially lile alilobadilisha mara ya pili
Huyo bibie ni kama ana mambo mengi kichwani;
akili haipo hapo alipo;
au anamfikiria mtoto?
akil iko mbali...........
I hope this time itadumu
Ndiyo maana hajavaa shela kumbe anapasha kiporo, mmmmh.
Ndo mana beyonce hajaenda kaona donge alifunikwa.
eti this dress na lile la harusi ya pili lipi bomba