Shida Kiduku hata umri wake sahihi haujulikani ile inchi👋👋Walisoma darasa moja na Abdul mtoto wa kiume wa chura kiziwi
Hivi zile kaunda suti zake ni special order au?Shida Kiduku hata umri wake sahihi haujulikani ile inchi👋👋
Hivi zile kaunda suti zake ni special order au?
🤣😅😅View attachment 3166104 huyu jamaa nahisi atakua anavaa bullet proof hadi kwenye suruali
😂😂AiseeView attachment 3166104 huyu jamaa nahisi atakua anavaa bullet proof hadi kwenye suruali
Fundi wake ajengewe sanamuHivi zile kaunda suti zake ni special order au?
Huyu PASCHAL KONE aliwahi kuwa RC SINGIDA nadhani kipindi chote cha JK naye ni mwenyeji wa Nchi gani kule West Africa?Laurent Kabila aliishi Tanzania toka 1971 alopofurushwa na Mobutu baada ya Che Guivara kumwona msanii na kumwacha. Nchini Tanzania alijulikana kwa jina la Laurent Katwale mfipa toka Sumbawanga. Hata mtoto wake Joseph alisoma hapa la kwanza mpaka yote.
Alikuwa na jamaa zake wengine aliokombia kuja Tanzania kama akona Didi Nyembo (Didier Nyembo) wakiishi pale Sinza.
Kwahiyo hawa wanasiasa kazi za usanii sio haba.
Mfano waziri wa mambo ya nje wa Congo DR baada ya Laurent Kabila kitwaa madaraka alikuwa Nyamurenge akijulikana kwa jina la Bozima Kalaha lakini jina lake halisi ni BIZIMANA KALAHARI🤣.
Kwakweli sijui.Huyu PASCHAL KONE aliwahi kuwa RC SINGIDA nadhani kipindi chote cha JK naye ni mwenyeji wa Nchi gani kule West Africa?
Aaaaaiiiseeee! Kila mtu ANANISHAANGAA hapa kwa nn ninacheka namna hii.View attachment 3166104 huyu jamaa nahisi atakua anavaa bullet proof hadi kwenye suruali
Hiyo siyo shida; snipers wakimtaka, wanafumua tu hicho kichwa wanamwachia miguu yake na bullet proof zake!!View attachment 3166104 huyu jamaa nahisi atakua anavaa bullet proof hadi kwenye suruali
Hapana; huyo ni mmasai kabisa, anaitwa PARSEKO KONE, siyo Paschal Kone.Huyu PASCHAL KONE aliwahi kuwa RC SINGIDA nadhani kipindi chote cha JK naye ni mwenyeji wa Nchi gani kule West Africa?