Kim K and Kanye in Rio de Janeiro, Brazil

Kim K and Kanye in Rio de Janeiro, Brazil

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
[h=3][/h]

1.jpg
2.jpg

4.jpg
5.jpg
Kim and Kanye are currently holidaying in Brazil. The lovebirds visited the famous Cristo Redentor - Christ the Redemer - statue atop of Corcovado Mountain today.
1.jpg
1.jpg

2.jpg
3.jpg

4.jpg
5.jpg
 
Kuna watu wanafaidi dunia hii...ndio maana huwa napinga 'eti tutachomwa sawa huko ahera'! This is not fair, waliokula raha sana duniani wachomwe zaidi bana!
Kuchomwa moto ni nadharia tu ya kutishana, jiulize kabla hujazaliwa Dunia ilikuwaje? the same thing ukifa na biashara yako imekwisha.
 
Kuna watu wanafaidi dunia hii...ndio maana huwa napinga 'eti tutachomwa sawa huko ahera'! This is not fair, waliokula raha sana duniani wachomwe zaidi bana!
mzee umenikechekesha sana,yaani umepasua mbavu zangu
 
Aisee jamaa walimtangazia bwabwa kumbe chuma kingali moto,au ni usongo baada ya ex dame wake naye kushiba korosho
 
Kuchomwa moto ni nadharia tu ya kutishana, jiulize kabla hujazaliwa Dunia ilikuwaje? the same thing ukifa na biashara yako imekwisha.

Dah nilisoma comment kabla sijamsoma mwandishi...
Hah hah haaah that is usefull post.
 
Yule bwana mdogo wa Nets akiona hivi ndio anazidi kuchanganyikiwa kabisa....hatoi talaka ng'o.
 
Back
Top Bottom