Kuchomwa moto ni nadharia tu ya kutishana, jiulize kabla hujazaliwa Dunia ilikuwaje? the same thing ukifa na biashara yako imekwisha.Kuna watu wanafaidi dunia hii...ndio maana huwa napinga 'eti tutachomwa sawa huko ahera'! This is not fair, waliokula raha sana duniani wachomwe zaidi bana!
Kuna watu wanafaidi dunia hii...ndio maana huwa napinga 'eti tutachomwa sawa huko ahera'! This is not fair, waliokula raha sana duniani wachomwe zaidi bana!
mzee umenikechekesha sana,yaani umepasua mbavu zanguKuna watu wanafaidi dunia hii...ndio maana huwa napinga 'eti tutachomwa sawa huko ahera'! This is not fair, waliokula raha sana duniani wachomwe zaidi bana!
Kuchomwa moto ni nadharia tu ya kutishana, jiulize kabla hujazaliwa Dunia ilikuwaje? the same thing ukifa na biashara yako imekwisha.
Kuna watu wanafaidi dunia hii...ndio maana huwa napinga 'eti tutachomwa sawa huko ahera'! This is not fair, waliokula raha sana duniani wachomwe zaidi bana!
Yeaah ..hakuna cha Moto ni uongo tu ulio kubuhuKuchomwa moto ni nadharia tu ya kutishana, jiulize kabla hujazaliwa Dunia ilikuwaje? the same thing ukifa na biashara yako imekwisha.
kweli mkuu kuna dar tu kule
Haha mkuu --una deal na hiyo typing error !?kweli mkuu kuna dar tu kule