Kim Kardashian amerusha majibu kwa mahasimu wake, kuwadiss kuwa ana pesa nyingi.
Kupitia hii picha aliyoiweka, Kim amedhihirisha kuwa anapesa nyingi kwa kupiga pozi sehemu iliyopambwa huku akisimama kando ya gari(Lamborghini) la mpenziwe Kanye West.
Pia ni hili gari ambalo linamilikiwa na mtoto wake North West.
Chanzo
Kim Kardashian Aonyesha Umbo Lake, Na Gari Lake La Thamani - bkuHABARI