Kim Kardashian asifiwa kwa anavyojitoa kwa mumewe Kanye West

Kim Kardashian asifiwa kwa anavyojitoa kwa mumewe Kanye West

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kim Kardashian yupo kwenye wakati mgumu kiasi cha kuweka kila kitu pembeni na kuwa na jambo moja tu – kumwangalia mumewe Kanye West aliyelazwa kutokana na matatizo ya kiakili tangu wiki iliyopita.

Vyanzo vimeiambia tovuti ya TMZ kuwa Kim amekuwa kwenye wakati mgumu tangu avamiwe na majambazi mjini Paris, Ufaransa lakini tangu Kanye apate matatizo wiki iliyopita kila kitu kwake kimebadilika. Vyanzo hivyo vimesema kuwa Kim amekuwa kama mwokozi wa Kanye na amekuwa macho muda wote akimwangalia mume wake aliyelazwa kwenye hospitali ya UCLA Medical Center kwa wiki sasa.

Vyanzo vimesema amekuwa na mtihani kwake hasa kwakuwa kuna wakati Kanye amekuwa akizungumza kuwa watu walikuwa wanataka kuivunja ndoa yake. Ni moja ya chanzo cha mashaka yake makubwa.

Kim, anatarajiwa kumrudisha Kanye nyumbani Jumatatu hii na lengo lake ni kuhakikisha anarejea kwenye afya yake. Chanzo kimoja kimesema Kim amejitoa haswaa na kwamba Kanye ana bahati kuwa naye.

“She has been an unbelievably devoted spouse. He’s a lucky man.”

baf5f381f49c9e23c8846c1f77ed5f17.jpg
 
Mungu atusaidie tu mkuu. Japo yatupasa kushukuru kwa kila jambo, ila unaweza kupata kituko mpk ukamlaumu Mungu.
 
Ameutendea haki ule usemi wa kwenye shida na raha.
 
unamjua Kimberley Kardashian ameishi na Wanaume wangapi mpaka useme Kanye ana bahati?
hapo ni pasua kichwa na kichaa kitampata
mastaa km hao huwa hawaolewi Kanye ajiachie tu,
yule dogo aliyembandua na Kim kuianika Video yao, mbona akitaka hata leo anajibebea?
 
I like Kanye but he is very hypocritical. Every thing that he
rapped against in his early career, he became. And because he is doing it, he wants to justify it but if
someone else did it, he would jump to the nearest mike. He was being honor for black excellence but he
used it as a platform to defend his wife. That story that he told about Rob Kardashian sounded like BS.
When Kanye speak, he will talk with so much substance to make it seem like he is talking about something but he is not saying a damn thing. Lastly he said his wife did not marry him for money, I actually agree. She married you for status, which get her more publicity. She see's how you defend Beyonce and she wants to be with someone who will hype her ass up even more and thats you. Stop doing crazy stuff in the media for publicity like your wife and make good music.
 
Back
Top Bottom