Kim Kardashian avamiwa na majambazi mjini Paris, aporwa vitu vya thamani ya bilioni 24

Hapo kwenye 24bn ndo umeshindwa tafsiri, kwingine umejitahidi walau 80%
 
Ni wa kuedit huo mkia kuna wakati tako moja lilimshuka kidogo ikabidi akafanyiwe surgery tena
Starehe gharama, Kama ingekuwa bongo mwanamke ana tako moja kubwa halafu moja dogo sipati picha[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Mwee....sasa unatembea na mz!go wote huo watu wafanye nini?
 
Maandishi Meusi nimeelewa...ila haya ya Blue nadhani mpaka juani
 
Hizi fix tu, njia mojawapo ya huyu mdada kupiga hela, hatembei na jewelry za 20 Billion. Subiri siku si nyingi utasikia kafungua kesi kushitaki hiyo hoteli kwa kutokua na ulinzi wa kutosha.
mjini haendi na jembe!

maana mie pia nlishangaa
usemavo yaweza kua uko sahihi!
 
Na kumbuka move moja hivi , wahuni wa kizungu imechezwa kati ya austria na pariiiis
 
Sasa bilion 24 zimetokea wapi, au mmetumia rate ya mwaka 2050?
 
mkuu nenda ccbrt ukapewe mawani
Tayari nimeshavaa miwani[emoji41] [emoji41] [emoji41]
inataka moyo sana kuishi na mwanamke ambae dunia nzima watu wamemuona nyeti zake, watu wakikumiss wana google kumchungulia tena[emoji1] [emoji23]
 
kahela kadogo sana hako kwa hiyo familia,
 
Paris ni jiji sio mji sipendi ujinga ujinga...
 
Kanye west kwa kim ni dizain kama kamezwa nahisi hafurukuti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…