Kim Kardashian avamiwa na majambazi mjini Paris, aporwa vitu vya thamani ya bilioni 24

Aaaaaah jamani bill 24 afu ni dhamani ya vitu si pesa daaaah ndo kijijini kwetu najiona the Don kumbe life haliko fear kabisa.
 
Hizi fix tu, njia mojawapo ya huyu mdada kupiga hela, hatembei na jewelry za 20 Billion. Subiri siku si nyingi utasikia kafungua kesi kushitaki hiyo hoteli kwa kutokua na ulinzi wa kutosha.
ndicho kinachofuata, na atataka alipwe fidia
 
Mazoezi pia yanaweza saidia kujiweka na shape nzuri ila wenzetu pesa wanazo kwanini wahangaika na mazoezi ambayo yanakuweka kwa muda ukizubaa mwili unarudi tena...na wao wanataka permanent ndo mana wanatumia mihela.
 
Mhh, vitu artificial unajua utamu wake ulivyo. Labda kuna jinsi wanavyofanya ili kuongeza radha.
Ngozi na mwili si ule ule, viungo ni vile vile utamu uko pale pale. Labda yeye Kim kama ndo hisia zitapotea baada ya ngozi kukosa hisia na mawasiliano kwenda kwenye ubongo.
 
Na kumbuka move moja hivi , wahuni wa kizungu imechezwa kati ya austria na pariiiis
Kuna Italian job na ile ya kihindi jamaa anamtanguliza demu duka la jewerly kisha yeye anakuja kuiba cheni anaificha kwa demu wake
 
Ngozi na mwili si ule ule, viungo ni vile vile utamu uko pale pale. Labda yeye Kim kama ndo hisia zitapotea baada ya ngozi kukosa hisia na mawasiliano kwenda kwenye ubongo.
Katika kitu kilichowashinda wanasayansi ni hili la kuongeza radha. Hili suala hawaliwezi na siri inabaki kwa muumba hapo ndipo tunapoweza kutofautisha halisi na ya kuunda. Kwa mfano hebu chukulia mchele wa asili na mchele uliofanyiwa ukarabati ili kuongeza kivuno. Utaona tofauti kubwa sana ya radha. Huyo mdada anavutia lakini huwezi kumfananisha na JLo.
 
Sawa mkuu
Unavyozungumzia ladha na utamu wa JLo utasema tyr umeshamkula[emoji1] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…