Kim Kardashian Awapa Makavu Gazeti Lililodai Kuwa Anashindwa Kuyamudu Makalio Yake

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Ok wakumbuka ile siku iliyomuonyesha Kim Kardashian akiwa amevalia suruali iliyombana makalio na kuyaonyesha yote?

Sasa gazeti flani Marekani la In Touch Weekly limedai kuwa Kim Kardashian anashindwa kuyamudu makalio yake. Katika kichwa cha gazeti hilo lilisoma 'My Butt Wont Stop Growing' lilidai kuwa umbo la Kim Kardashian anashindwa kulimudu.

Katika kurudisha makali yake, mwanadada huyu ambaye ni mmoja wa familia ya Kardashian aliingia kwa Twitter na kuanza kujitetea kuwa yeye amtoka tu kujifungua hivi karibuni na haina hatia yeyote kuwa makalio yake yakizidi kuwa makubwa kwani hata mwaka haujaisha tangu ajifungue.

Kim pia alijitetea kuwa hafuko 'perfect' na wale wote wanaomtaka awe mwembamba yeye mwenyewe anajua wembamba ni size gani.

Wale wanaomtia presha mwanadada huyu waache za kwao na watizame picha kali za mwanadada huyu akiwa na bikini.
 
Akwende zake tukalio tudunchu anajikoshaaaa je angepewa kama haya yetu watoto wa kibongo???
 
Anapendeza akiwa na nywele nyeusi,sasa afadhali hata yake kim yamelinganaa,yule kim k wa bongo yake sijui yamekaaje au macho yangu hua hayaoniii
 
Anapendeza akiwa na nywele nyeusi,sasa afadhali hata yake kim yamelinganaa,yule kim k wa bongo yake sijui yamekaaje au macho yangu hua hayaoniii

nime-prove niko sawa, nilidhani niko peke yangu kumbe wengi mmeliona hilo
 
Anapendeza akiwa na nywele nyeusi,sasa afadhali hata yake kim yamelinganaa,yule kim k wa bongo yake sijui yamekaaje au macho yangu hua hayaoniii

Ni nani huyu Kim K wa Bongo?
 
Uzuri wa nyumba choo,mwache aonyesha choo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…