Kim Kardashian bila "Bra"

itakua zimechakaa zote si unaona hapo ndo anaangalia itakayomfaa
 
huyo mzungu anamtamani kim k kwa jicho la uchungu!almost crying.
 
Kila wakitembea lazima washikane mikono"""!!!!!!!"
 
Jaman na wewe hua mnashikana mikono mkitembeaa au ndio kwanza mmoja mbele mwingine nyumaa

Tunashikana ila huwa ni usiku kama tunatembea ila si mchana si unajua tena kibongobongo ila yeye anatangulia mbele mimi nyuma
 
Tunashikana ila huwa ni usiku kama tunatembea ila si mchana si unajua tena kibongobongo ila yeye anatangulia mbele mimi nyuma

Mi napendwa nishikwe mkono kama Kim hahhhhaaahhhaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…