Kim Kardashian na Kanye West Watangaza tarehe ya harusi yao

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Kwa muda tumekuwa tukingojea kufahamu siku ya wawili hao wataweza kuoana lini. Na kama tulivyotarajia, wawili hawa hawakuiweka mbaliiii...

Wawili hawa watafishana pete jijini Paris kama vile uvumi ulivyokuwa ukienea,

Wahudhuria pia hawatakuwa wengi sana, watu 150 pekee.

Halafu siku yenyewe ya harusi imewekwa siku ya.....

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kim na Kanye siku walipochumbiana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Pete aliyopewa Kim na Kanye uwanja wa AT&T Park walipochumbiana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Jumamosi 24 Mei mwaka huu...iko karibu!

Halafu inasemekana mtoto wao North West, ambaye atatimiza mwaka mmoja Juni 1 atakuwa na jukumu kuu katika harusi hio.

Ona ile video wakati Kanye West Alipompigia Magoti Kim Kardashian Amchumbie

Kim je?

Kim Kardashian hadi wasasa hajafikiria vazi atakalovalia siku hio kubwa ambayo imeandaliwa kwa wawili hao. Kim anadai kuwa ashafanya shoping kiasi lakini bado hajaridhika. Anajiskia mwenye nguvu na amejawa na furaha tele huku akingojea siku hio kuu kwake.

Chanzo: bkuHABARI
 
Kim harusi kwake ni kama fashenii!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…