Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Nikome wewe Dada. Nikiwaza Heineken inakuuma eeh? Mshamba wewe unaetunga story aibu yako
Kuanzia kesho we mb..wa tutajuana mjanja nani ndezi[emoji15] [emoji15] .....sio huku mitandaoni only this
 
Kuanzia kesho we mb..wa tutajuana mjanja nani ndezi[emoji15] [emoji15] .....sio huku mitandaoni only this
Nakuapia siku nikiogopa MTU kama wewe narudi kwetu Tanga. Mi mtandaoni Nina kauoga kidogo halafu maana sijui nabishana na nani. Kama utataka kuniona live uteme nyongo zako njoo Golden J nikitoka job nitakua hapo Karaoke.
Ila nashangaa bado hizi hasira kisa kubisha sijaona hizo sex tape au kuna mengine? Maana umejitia nyongo haswaaaa kwa MTU usiemjua hata
 
Mkalale, alafu watoto kike kutukanana matusi kutoka viungo vyenu mnajisikiaje. Alafu haya maswala ya kutafutana kizamaani, sasa unamtafuta ili iweje.
 
Hivi vitu vinatokea kwa mastaa tu😁😁😁😁😁😁😁 hizi kiki tu.

Haiwezi tokea usikie eti Ronaldinho gaucho kambaka luckyline.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Sikutegemea utamtaja kipenzi chako Beyonce.
 

Kwa ishu za ma cebrity wa ulaya witnessj yuko sebuleni kwake πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyie watoto witnessj, Mzigua90 musituzingue inaelekea mumelewa munataka kukutoa kwenye mada. kwanza nyie ni mashost nani asiyewajua au kuna ajali ya magari kugongana? Nyani Ngabu nakuona unamwaga like za kufa mtu mungu anakuona.


 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€we jamaa fala sana,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ronald asingehama madrid haya yote yasingekuwepo.

Wanajaribu sasa kumuua.
Italia kuna "mafioso"...na wazee wa kuchora deal....kuna kundi lina maslahi yake ....halimtaki huyo dogo Juve....ndio maana wakati anasajiliwa juve kwa kiwango na mshahara mkubwa anaolipwa....wafanyakazi wa Jeep waliandamana kupinga ujio wake.....waelewa wa mambo tulishajua....hii ngoma haifiki mbali lazima ija.mbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…