johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote
Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto wa Matajiri wenye Uwezo wa kumiliki Smartphone na walikuja kwenye maandamano kwa magari ya kukodi UBER
Kimani ameitaka Jamii ya Maskini na Wanyonge wa Kenya akina Juakali na Mama mboga kuwapuuza Gen Z
Source: Citizen TV
My take; Kumbe Gen Z ni kama Bavicha tu