johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kweli KabisaViongozi wengi wa Africa baadala ya kuangalia shida ni nini na nini kifanyike kutatua tatizo wao kila siku wako kwenye defensive mode ili vyeo vyao viwe salama.
Kumbe kumiliki smart phone ni utajiri!Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote
Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto wa Matajiri wenye Uwezo wa kumiliki Smartphone na walikuja kwenye maandamano kwa magari ya kukodi UBER
Kimani ameitaka Jamii ya Maskini na Wanyonge wa Kenya akina Juakali na Mama mboga kuwapuuza Gen Z
Source: Citizen TV
My take; Kumbe Gen Z ni kama Bavicha tu
Huyo ni kilaza tu yaani kumiliki smartphone ni kipimo cha utajiri !!!Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote
Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto wa Matajiri wenye Uwezo wa kumiliki Smartphone na walikuja kwenye maandamano kwa magari ya kukodi UBER
Kimani ameitaka Jamii ya Maskini na Wanyonge wa Kenya akina Juakali na Mama mboga kuwapuuza Gen Z
Source: Citizen TV
My take; Kumbe Gen Z ni kama Bavicha tu
Kumbe kumiliki smart phone ni utajiri!
Labda anakusudia kuihudumia, manake bando kila siku sio mchezoHuyo ni kilaza tu yaani kumiliki smartphone ni kipimo cha utajiri !!!
Wewe na huyo mumeo Kimani ni vichaa. Tangu lini kupanda Uber ni utajiri?.Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote
Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto wa Matajiri wenye Uwezo wa kumiliki Smartphone na walikuja kwenye maandamano kwa magari ya kukodi UBER
Kimani ameitaka Jamii ya Maskini na Wanyonge wa Kenya akina Juakali na Mama mboga kuwapuuza Gen Z
Source: Citizen TV
My take; Kumbe Gen Z ni kama Bavicha tu
Bavicha mnapanda Fuso 🐼Wewe na huyo mumeo Kimani ni vichaa. Tangu lini kupanda Uber ni utajiri?.
..Bavicha mnapanda Fuso 🐼
Nawaona BAWACHA wamevaa jezi za CCM
Wameunga juhudiNawaona BAWACHA wamevaa jezi za CCM
Unapinga Kodi, serikali ita-finance vipi project mbalimbali?Viongozi wengi wa Africa baadala ya kuangalia shida ni nini na nini kifanyike kutatua tatizo wao kila siku wako kwenye defensive mode ili vyeo vyao viwe salama.
uvccm mmepata loop kuzuia gen z wa tanzania kuiga wenzao wa kenya. Mnahangaika kuzima moto uliowaka kwa jirani, mnajua huo moto ukiwashwa bavicha nao wataungana na gen z wa tanzania kuwapa za uso walamba asali na machawa waoKiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote
Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto wa Matajiri wenye Uwezo wa kumiliki Smartphone na walikuja kwenye maandamano kwa magari ya kukodi UBER
Kimani ameitaka Jamii ya Maskini na Wanyonge wa Kenya akina Juakali na Mama mboga kuwapuuza Gen Z
Source: Citizen TV
My take; Kumbe Gen Z ni kama Bavicha tu
Unapinga Kodi, serikali ita-finance vipi project mbalimbali?
Hebu tupe fikra moja nje ya Kodi ambayo serikali inaweza itumia kupata fedha za kujiendeshaKuwaza kulimbikizia Kodi watu wako bila kufikiri nje ya box au kuwa na plan B huo ni ujinga.
Watu hawakatai kulipa Kodi, kinachokatawaliwa ni kumfanya mwananchi ng'ombe wa kumkamua huku hapati msosi.
Unaanzaje kumkamua mwananchi kodi huku matumizi ya Serikali yako juu, wizi umetamalaki kila mahala nk.
Unaanzaje kumkamua Mwananchi Kodi huku vyanzo vya mapato vimejaa kila kona, nchi ina resources ambazo zinahitaji akili kidogo kuzifanya ziwe na faida kwa wananchi?