Kimani: Vijana wa Gen Z ni Watoto wa Matajiri walikuja kwenye maandamano kwa UBER huku wamebeba Smartphone , Watoto wa Wanyonge Wapuuzeni Gen Z!

Bwashee hukubahatika kuangalia hayo maandamano hata mtandaoni mpaka uhadithiwe na mjombako Kimani?

Au tatizo mb bwashee...

Anyway kumbe kumiliki smartphone ni utajiri, basi mimi na wewe tujipongeze tumeshaupiga teke umaskini, tumejituliza zetu uchumi wa kati!.
 
Kumbe vyama tawala Afrika vinalingana upumbavu?
 
Kimani Anthony Inchung"wa sio,

mbunge wa kule kikuyu constituency, ni mjanja lakini pia ni mbish, halafu mjuaji mbaya sana
 
Ndiye aliyewafitinisha Gachagua na Ruto

Inadaiwa anatamani Unaibu Rais πŸ˜ƒ
wasipokaa chini vizuri na yule mbunge mwingine machachari sana wa jimbo la Kiharu ambae pia ndie mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Budget, mh. Ndindi Nyoro wataparuana sasa hivi,

halafu Ruto ndie anawapenda sana na anawategemea kumdhoofisha naibu wa rais RigG, kumbwatukia mstaafu Uhuru Kenyata akiingia kwenye 18za Ruto, na anawatumnia kucondolidate na kumaintain kura za watu wa Mlima Kenya ambazo kwa kweli ni nyingi mno kwa mgombea, husisan urais, kujihakikishia ushindi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…