Habarini wanaJF kwa yeyote anayehitaji nyumba kuna nyumba ipo maeneo ya kimara korogwe dk 5 toka kituo cha mwendokasi aliyepo anatoka mwezi wa 1 tar 10 haina udalali ni chumba,sebule,jiko choo umeme na maji yapo. Hautajuta ni nyumba nzuri aliyepo amehamishwa kikazi mkoani.bei 250000 kwa mwezi malipo ya miezi 6
mwenye uhitaji anipm.