Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Habarini.
Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli.
Aisee maji yananuka, sijui huko kwenu, yaan yananuka bila hata kuyanusa, yanatoa harufu flani ivi kama maji ya bahari, ukiingia chooni ukifungulia maji harufu inabadilika kabisa.
Shida itakuwa nn? Ni madawa waliyoweka au mabomba yamechafuka?
Soma Pia: Waziri wa Maji ingilia kati DAWASA, hali ya maji Dar ni mbaya sana