Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Anayetakiwa ayafanye yasinuke sasa yuko zake Kwa Mkapa anagawa Tuzo za Upuuzi Upuuzi badala ya kufanya Kazi.Habarini.
Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASCO huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni.
(kisima ni muhimu kwakweli)
Aisee maji yananuka, sijui huko kwenu, yaan yananuka bila hata kuyanusa, yanatoa harufu flani ivi kama maji ya bahari, ukiingia chooni ukifungulia maji harufu inabadilika kabisa.
Shida itakuwa nn? Ni madawa waliyoweka au mabomba yamechafuka?
Habarini.

Kimara - DSMNi wapi huko Mkuu?