KERO Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi hatuna maji wiki ya pili sasa, tunalazimika kununua ndoo ya lita 20 kwa Tsh 800

KERO Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi hatuna maji wiki ya pili sasa, tunalazimika kununua ndoo ya lita 20 kwa Tsh 800

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari za muda,

Mimi ni mdau kutoka Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi, tuna changamoto ya maji kukatika ni wiki ya pili sasa hivi inaelekea na tumesharipoti kwa DAWASA lakini hadi hivi sasa hatuna huduma ya maji inabidi tuende hadi umbali kadhaa kupata maji na imefikia hatua tunanunua maji shilingi 800 kwa ndoo ya lita 20.

Tunaomba msaada kwa hii changamoto tunapata shida sana

Asante.

Wizara ya Maji
 
Back
Top Bottom