Kimasihara imeniponza. Members wa kimasihara naombeni mnifariji

Mkuu, haikuwa kazi rahisi...
Hata ningefanya vipi mkuu, labda ningembaka tu. Na je, hiyo situation ingemfikia Mazaa si ningewekwa vikao vya kifamilia na ukoo!!!?
 
Aisee!?
Mda mwingine jifunze kucontral genye zako ili ujilie vitu kiurahisi na kistaarabu
Kauli hii inafanania na kauli yake aliyoisema "Hata kama wewe ni muovu kiasi hicho, jifunze ku control hisia zako, walau fanya kupretend tu kwa muda wa hata wiki moja, utajipatia vizuri na ujilie kistaarabu". She said. Naona aibu kubandika screen shots za sms zake hapa
 
Ushagongesha mwamba endeleza mashambulizi mbona goli hilo lipo wazi kabisa hilo.
Kwa gia zipi mkuu, nishaharibu. Kinachoniuma siku ya Jumamosi usiku kipindi nampoza aliingia kwenye line, kumbe lengo ni kutengeneza quotation za mashambulizi aliyoyapanga siku ya Jumapili
 
rikiboy CEO wa kimasihara
 
Sasa ndio mda wa kusawazisha makosa ili umpate maana inaonekana ata yy yupo tayari ila sio kwa haraka hvyo
 
🤣🤣🤣🤣Uzi huu bila neno lako ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…