Kimbilio lako lipo kwenye mimea ..epuka matapeli..mimea ni tiba toshaaa...

Kimbilio lako lipo kwenye mimea ..epuka matapeli..mimea ni tiba toshaaa...

Joined
Sep 17, 2016
Posts
9
Reaction score
0
LuSESYO campain yenye makao yake kyela mbeya ..inawakaribisha katika semina ya mafunzo juu ya tiba mbalimbali kutokana na mimea mbalimbali...inayofanyika tare 2 mwez wa kumi.kuanzia saa 9..ukumbi wa kyela mjin...kiingilio ni bure...kwa maelezo zaid wasiliana nao kupitia 0764332547.....katika semina hiyo pia dawa za mitishamba na za asili mbalimbali zitakuwepo na kuuzwa na kugawiwa bure kwa watu mia wa kwanzaa....pia 0764332547..wote mnakaribishwa...
 
Semina itachukua muda wa wiki 2.....Magonjwa yatakayo jadiliwa ni kama ifuatavyo...na utafundishwa kutengeneza dawa mwenyew ulipo...

Magonjwa ni
Maradhi ya moyo na figo
Maradhi ya macho masikio na pua na koromeo
Maradhi ya presha na kisukari
Maradhi ya ngozi..
Maradhi ya uzazi ugumba...njia za kufanya na dawa za kuepusha ugumba
Maradhi ya wanawake hedhi na maumivu ya kiuno....
Maradhi ya mapungufu ya nguvu za kiume
Maradhi ya ugumba kwa wanaume uhanithi
Maradhi ya koo na mchafuko wa damu...
Jinsi ya kutengeneza dawa ya kuongeza maumbile mmfano hips ..kurefusha uume na kunenepesha uume...wasiliana nao kupitia 0764332547...kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom