Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Kimbunga Chido kimeua watu 94 nchini Msumbiji tangu kilipotua katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki wiki iliyopita, mamlaka za ndani zimesema.
Taasisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga nchini (INGD) imesema watu 768 walijeruhiwa na zaidi ya watu 622,000 kuathiriwa na maafa hayo kwa kiasi fulani.
Kimbunga Chido aliipiga Msumbiji tarehe 15 Desemba kwa upepo wa kasi ya kilomita 260 kwa saa (160mph) na mvua ya 250mm katika saa 24 za kwanza.
Kimbunga hicho kilitangulia kufanya maafa mara ya kwanza katika eneo la Bahari ya Hindi la Ufaransa la Mayotte, kabla ya kuhamia Msumbiji, Malawi na Zimbabwe.