Kimbunga: Natuma salamu...

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108
Habari wanajamvi,

Ijumaa iliyopita nikitoka Job mida ya mchana, nilimsikia huyo jamaa akiwa anatoa mistari yenye kibwagizo ..."natuma salamu"...huku Adam Mchomvu akiwa anampa support! kuna baadhi ya mistari haikuwa poa kusikilizwa radioni ila nilishangaa Adamu alipokuwa anamruhusu jamaa aendelee tu...najua kuna wapenzi wa radio clouds hivo kama kuna mtu atakuwa ameikamata ile mistari anaweza kuiandika hapa jamvini kama mods wataruhusu.

Kwa anayemfahamu huyo jamaa naomba atupie picha yake hapa!

Mwisho, presenters wa clouds mjitahidi kuchuja baadhi ya mambo sio kila kitu kinapaswa kuruka hewani! Na waangalie aina ya maswali ya kuuliza. mfano swali kama wewe ni Kabila gani? sio la maana!
 
Punga uyo anatumiwa na clous kuna mstari anasema mimi ni mfuasi wa Ruge wewe sugu utaniambia nini
 
ndo yule anayedaiwa alimbaka Linah?
 
Huyu bwana mdogo aliharibiwa na bangi akiwa mdogo sana, nakumbuka wakati niko form 6 pale Tanga tech yeye alikuwa form one wakati huo kichwa kikiwa tayari hakifai kwa bangi. Sidhani kama alipata malezi mazuri utotoni, tunaweza tukawa tunamlaumu kumbe ni suala la MALEZI ya toka utotoni
 
Ume nena vema na shule aliishia form 2!...
 
Huu wimbo katambaa na biti ya Ney wa Mitego, ya SALAM ZAO. Na kwenye wimbo huu kawa-diss watu kibao akiwemo Nay mwenyewe,

Hivi akimdai hakimiliki ya biti yake je??
 
"Usipokunja goti hiyo ni style ya kishoga,mimi mfuasi wa ruge kitaa kuna njaa mheshimiwa usinizuge"
 
[QUOscTE=PILEC IVAN LEOPARDO;8364507]fanya kunitumia mm Allanskillz nauhitaji sana huo wimbo:wink2: kwa 0756849899[/QUOE]

and xc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…