Kime-happen kwa jirani na sijutii kabisa

Miaka 29 hakuna zaidi tena mkuu, ndio sisi tunazeeka na uhovyo wetu!
Mkuu,umri sio hoja,nimeongelea ile tabia ya utoto,unaweza ukawa na miaka 29 ila ukawa na utoto,

You can meet a boy who is 35 and a man who is 23
Maturity and character matter more than age.
 
Mkuu,umri sio hoja,nimeongelea ile tabia ya utoto,unaweza ukawa na miaka 29 ila ukawa na utoto,

You can meet a boy who is 35 and a man who is 23
Maturity and character matter more than age.
Hakuna maturity kwenye ngono mkuu wewe mwenyewe tunalijua hilo
 
Haya mashambulizi mbona makali sana?

Baada ya kuona anafurumushwa,akaamua kuja na Nyuzi za Chai kama hii ili japo ajiliwaze kifikra.
Ndugu yangu, mimi huwa sina namna ya kuanza kujitapa kwa evidence... Huwa na cheza mchezo wa kutokuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…