Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Wakenya wamejiongeza kula bingo hapo Secretariat - Arusha, Wabongo wamebakia wafagizi na madereva (comfortably). Wabunge toka Uganda wamestukia michezo ya wakenya kupiga sarakasi na kuendelea kula mikataba ya maana.
Wawakilishi wa TZ kwenye EALA wapo Ila wametulia jii
Wawakilishi wa TZ kwenye EALA wapo Ila wametulia jii