Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kauli inasemaje?Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
Halafu asipomuomba hiyo radhi ndani ya hayo masaa aliyompa, atamfanya nini na wakati huyo Mlezi wake mwenyewe hajitambui?Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.
Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
View attachment 3289839
Kijana wa RageWauza unga wana maneno ya nyodo sana, ila safari hii dogo kayatimba ni wakati sasa ile adhabu kivuli aliyopewa ianze kufanya kazi sasa apumzike usemaji wa mpira hauwezi kwani anafanya personal attacks.
Waambieni Wakuu wa Mikoa wakae mbali na yasiyowahusu. Mwingine juzi kamuingiza Ahmed Ally kwenye issue ya uwekezaji utadhani na yeye ni mvuvi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.
Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
View attachment 3289839
Acheni kuitisha watu Mkuu wa mkoa siyo Msimamizi wa soka. Akiingia kwenye soka Huyo ni Shabiki kama wengine akitaka heshima abaki na nafasi yake.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.
Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
View attachment 3289839
Timu ipiHii timu haina muda mrefu inashuka daraja imekua daraja la wanasiasa
Wauza unga ni akina naniWauza unga wana maneno ya nyodo sana, ila safari hii dogo kayatimba ni wakati sasa ile adhabu kivuli aliyopewa ianze kufanya kazi sasa apumzike usemaji wa mpira hauwezi kwani anafanya personal attacks.
Kimtu hakina heshima kwa baba yake mzazi kinawezaje kumheshimu mtu mwingine?Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.
Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
View attachment 3289839
Hamna lolote, hamna uwezo wa kumtoa yoyote serikalini. Acheni kujipa maujiko yasiyo yenu bwanaYanga ni kubwa huyo Mkuu wa mkoa wa Tabora ajichunge, Yanga inaweza kumtoa kwenye hicho cheo
Yanga Iko Tabora atulie mechi ipigwe maisha yaendelee acha maneno ya kubagua
Hii Jinsia hiiMkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.
Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
View attachment 3289839
Kama ana msuli aongee tena pumba dhidi ya Yanga timu iliyoketa uhuru TanganyikaHamna lolote, hamna uwezo wa kumtoa yoyote serikalini. Acheni kujipa maujiko yasiyo yenu bwana
mkuu wa mkoa kautaka,kamwe kampa analia mwingineMkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United.
Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio Mlezi wa Timu ya Tabora Bw. Paulo Chacha ikitafsiriwa kuwa ni kumkebehi mteule huyo wa Rais.
View attachment 3289839