This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Mbona unajipa majukumu ambayo yamekuzidi?Ujinga mtupu
We ukiwa mkuu wa mkoa ukaanza kujiingiza kwenye mamipira usitake uchukuliwe kama mteule wa Rais, utachukuliwa na utajibiwa kama shabiki mwingine wa kawaida tu.
Wenyewe mlianza kuongea ushabiki mkijibiwa kishabiki mnapaniki. Akiambiwa aoneshe ushahidi wa meseji walizolipwa wachezaji wa Tabora wacheze chini ya kiwango atatoa?
Yeye alianza kuongelea mapokezi ya Ali kamwe ulitegemea nini?
Msilete siasa kwenye michezo. Huyo mkuu wa mkoa anapenda sana majukwaa na makamera, ipo siku atafurahishwa hataamini!
Ndio nishajipa sasa hayo majukumu na huna cha kufanya.Mbona unajipa majukumu ambayo yamekuzidi?
Kwa hiyo ww kwa akili zako finyu unachukulia kwamba RC hana taarifa au hana vyanzo vya habari kwa jambo dogo km hilo.
Una upeo finyu kupindukia.
Ngoja tuone huo ukubwa wa 'utopolo'..Yanga ni kubwa huyo Mkuu wa mkoa wa Tabora ajichunge, Yanga inaweza kumtoa kwenye hicho cheo
We hazikutoshibila shakaYanga ni kubwa huyo Mkuu wa mkoa wa Tabora ajichunge, Yanga inaweza kumtoa kwenye hicho cheo
Yanga Iko Tabora atulie mechi ipigwe maisha yaendelee acha maneno ya kubagua
Baunsa wa yanga upo??Yanga ni kubwa huyo Mkuu wa mkoa wa Tabora ajichunge, Yanga inaweza kumtoa kwenye hicho cheo
Yanga Iko Tabora atulie mechi ipigwe maisha yaendelee acha maneno ya kubagua
Unaogopa baunsa?Baunsa wa yanga upo??