KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
1,830
Reaction score
8,636


Hii ndio hali iliyopo instagram,!!
diamond anasema ndio maaana ana hit and run!!
kwamba akina dada hawathaminiki!

Inaonekana zari amecheat na uyo mjamaaa aliyebambia msambwanda wake kwenye swiming pool!

Updates::
Zari kakataaaa kasema picha ilipigwa na mke wa jamaaa!!!!
diamond mkurupuko

 
Hii kiki kuna songi jipya linakaribia
Kuachiwa jamaa si yupo sauzi na mkewe
Vita ya makinikia haijawahi kuwaacha watoa new song salama kiki yote iko ikulu kwenye awamu ya pili ya makinikia

Mapovuuuu kumbe kiki ya new project
 
Mkuu uko sawa...
 
'gold digger' hapo yeye hana shida, ni kuangalia usimamizi wa mali za madogo! Tumeelewana jamani?
 
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.

Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...

Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
 
Hiyo swimming pool ipo na sio mara moja Zari anaenda kuogelea na jana katika snapchat yake alikuwa na mwanae wa kiume Raphael wanaogelea sio editing kabisa ingawa najua wanatafuta kiki hao.
 
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu na mwenye mafanikio ya hali ya juu ,Naseeb Abdul(CHIBU DANGOTE) au Diamond Platnumz kama anavyojulikana na wengi hatimaye abwaga manyanga rasmi kwa aliyekuwa mwandani wake Zarinnah Hassan au Zari the bosslady kama anavyojulikana na wengi .


Diamond kwa kipindi kirefu amekuwa akimshutumu Zari kwamba ana msaliti na amekuwa si mwaminifu kwenye suala zima la mahusiano ya kimapenzi lakini mwanadada huyo anayetokea Uganda mwenye watoto watano ambapo wawili kati yao amemzalia Diamond Platinum amekuwa akikanusha mara kwa mara na kuwa mkali kila akuilizwa juu ya suala hilo


Diamond kwa kuwa ni mtoto wa mjini akaamua kupotezea kumbe akawa anamchunguza chinichini na kuwatumia mashushushu ili wampeleleze mwandani wake huyo kwa kila jambo analolifanya ,

Diamond alikuwa anawatuma mashushushu wake wamfatilie Zari mpaka South Africa anapoishi ili ijulikane je ni kweli ni muaminifu au laah anagawa kitumbua kwa mabwashee wengine

Hatimaye Diamond project yake ikatiki kwa kuset mitambo yake na kumnasa kiurahisi kabisa Zari akigawa utamu kwa tajiri mmoja (rafiki wa marehemu Ivan)ambaye ndiye anayesemekana wamekuwa wakichepuka kwa siri kwa muda mrefu.


Diamond ili kupunguza hasira zake au kutoonekana mkosefu au mtu asiyetulia na wanawake akaamua aweke baadhi ya matukio ili iwe kama ushahidi
 

Nifah kunywa maji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…