Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Hivi ni umekosea au umeamua tu kututilia shubiri kwenye ubuyu wetu?
 
nimeona nimechekajeee,hahahaaaj akomew
 
.........hivi wema azae, kaolewa na nani !??? ... daah watu bhana !
Kwan anavyogongwa ameolewa na nani?hiyo ya kuchungulia kwa wife zuga tu na ww wale wale alaf kwa nini wote mnaona aibu kusema ni wafuasi wake mnazuga kwamba na nyiny hamumpendi Miss Tz nadhan dhamira zinawasuta kwamba mnamshabikia mtu bogus
 
sihitaji kuwa shabiki wa yeyote, ukweli ni kuwa nashangazwa sana na tabia za Kariakoo za Zari .....! with such exposure !
 
Sasa naanza kuelewa kwa nini watanzania hatuendelei... Yani jitu zima linapoteza muda wake kupost such a crazy thread ambayo sio productive hata kidogo
 
Nje ya Mada
 
Leo nimempenda Wema bure,Zari mswahili sana.
Eti anamuuliza Esma umeme umelipia?
Akimaanisha Wema na lile sakata la Tanesco.
Huyo Esma nae atakuwa mpumbavu kama ataungana na Zari kumtusi Wema aliyemuunganishia Petit man aliyemtoa gundu la ndoa.

Kuna vitu vingi sana vipo nyuma ya pazia kuhusu ili suala..Zari sio mama wa kukurupuka na kuanza kuandika mambo hayo..izo ni caption za insta tu..ila kupitia simu direct talking ni mengi sana yanaendelea na amini usiamini Wema mpaka kesho kutwa anamsumbua sana Diamond...Zari ametumia ustaarabu tu wa kujaribu kupunguza usumbufu wa Wema anaompa Daimond kupitia Insta ila laiti kama akiamua kuweka wazi yanayoendelea nyuma ya pazia,nadhani ulimwengu mzima utamshangaa Wema kwa tabia anayoifanya....amini usiamini hu si umbea na wala ubuyu..100% nina uhakika na ushahidi pia upo...
 
Tuletee huo ushahidi tukuamini, manake kwa stage aliyofikia zari saivi kama kungekuwa na kitu cha ivyo angeshascreen shot na kuitupia kwenye public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…