Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Tell the truth....would you smash her?
Dada jde pole saana... ila umenifurahisha sana kwa kauli yako "kila nafsi itayaonja mauti" ..... kwa imani y amo hiyo umenivuta niwe SHABIKI wako
Unataka evidence ipi legal evidence, scientific evidence??
Chuki zisifike kiwango hiki, ni Mwanamuzi yupi wa kike kwenye muziki wa kizazi kipya mwenye kipaji kama huyu humtambui?Wouldn't touch her with a 12 foot pole, but wouldn't hesitate to lay pipe in her a-hole all night every night either!
But the point is she ain't got talent at all in my eyes.
She's more of a performer and business-woman than a real artist.
She's also wont to seek unnecessary public attention and sympathy.
Incontrovertible evidence
Chuki zisifike kiwango hiki, ni Mwanamuzi yupi wa kike kwenye muziki wa kizazi kipya mwenye kipaji kama huyu humtambui?
Jide anahitaji Sympathy ipi wakati kwa maisha ya Kibongo yuko fresh kabisa kimaisha nyumba nzuri ya kuishi, gari nzuri ya kutembelea na biashara zake zinaendelea, au na wewe ni wazee wa magorofani?
Chuki zisifike kiwango hiki, ni Mwanamuzi yupi wa kike kwenye muziki wa kizazi kipya mwenye kipaji kama huyu humtambui?
Jide anahitaji Sympathy ipi wakati kwa maisha ya Kibongo yuko fresh kabisa kimaisha nyumba nzuri ya kuishi, gari nzuri ya kutembelea na biashara zake zinaendelea, au na wewe ni wazee wa magorofani?
Basi ange-dili na matatizo yake ya kibiashara pembeni na siyo kutoa tuhuma binafsi zenye hisia kali kwenye mablogu na kila mahali mtandaoni.
Siyo kama anadai ana kipaji fact ni kwamba anacho kipaji na kama Clouds wanadhani wao ndio wanawapa watu vipaji basi wachukuwe mabinti zao wawape hivyo vipaji ili pesa irudi nyumbani.Kama anadai ana kipaji, kwa nini analialia kwenye mtandao?
Kama ni kipaji cha kweli, hakuna mtu anaweza kumnyang'anya, wee sema tatizo lake ni pesa na umaarufu.
Siyo kama anadai ana kipaji fact ni kwamba anacho kipaji na kama Clouds wanadhani wao ndio wanawapa watu vipaji basi wachukuwe mabinti zao wawape hivyo vipaji ili pesa irudi nyumbani.
Mimi siku zote napinga dhulma na nitabakia kuwa hivyo, naipinga CCM kwa sababu ya dhulma kwa Watanzania the same thing anachofanya Kusaga na Maharamia wenzake, hili halikubaliki, badly mtuhumiwa mwenyewe ndio rafiki wa Rais wa nchi unategemea Jide afanye nini zaidi ya kutufahamisha public?
Kwani ubini wa mama wa Zamaradi ni Kusaga?mambo ya Mbao FM si mazuri,nazidi kusisitiza tena mtavunja ndo za watu wajameniacha ubishi wewe... mambo yote hadharani, muulize zamaladi mtoto wake baba ni nani hakuna jibu..... mpaka chet cha mtoto kaandikwa ubini wa mama.
Cloud ni wazuri, tatizo ni kujifanya wanajua kila kitu.....
Kwani ubini wa mama wa Zamaradi ni Kusaga?mambo ya Mbao FM si mazuri,nazidi kusisitiza tena mtavunja ndo za watu wajameni
Hivi haka kajoseph kusaga na karuge wanajidaia kitugani?? Mungu wao ni yupi?? Wamesuluhishwa na sugu hata mwaka karibu hauja isha leo JD tena, katakuwa na matatizo sana. sasa naona kanakaribia kuexpire! na mwisho wake umefika!WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.
Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari.
Nasimama na kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.
Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yangu bila kuburuzwa.
Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote unakatika, na hiyo ni kutaka kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwa hakuna msanii anaeweza ku survive bila wao.
Mimi ni msanii tofauti na hao mnaofikiria.
Nadhani mnafahamu tangu niachane na Tuzo zenu mnazo influence nani apate nani asipate, na tangu niachane na Fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na kuamua kuunda Band ili nijiajiri na kupata shows zangu mwenyewe, ikafanikiwa sana jambo ambalo limewauma na kuamua kufanya kitu cha kuiangusha Band yangu.
Nita survive kwa njia zozote MUNGU alizonipangia.
Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi kabisa, Naamini fika hawataweza kunipenda hata siku nitakapokuwa nimekufa.
Na huu ndio wosia wangu kwa watu hao.
Natambua wanaweza kutumia redio yao kutangaza sana kifo changu na kusema marehemu alikuwa mtu mzuri na pengine kupiga nyimbo zangu kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu.
Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige wame
Enyi mtakaokuwa hai baada yangu.
Kama wamenifitini, na hawajanipenda nikiwa hai
Hakuna haja ya kujifanya kunipenda nikiwa marehemu.
Sina haja wanipende pia kwakuwa mimi sio ndugu yao, Ila ubaya wanaoundeleza mioyoni mwao wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.
Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na kufanya biashara zangu, nimekaa kimya watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa chochote sikutaka ugomvi haya mambo yalianza baada ya Album yangu ya pili ya Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge.
Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.
Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia..
Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..
Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??.
Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.
Mnawatishia wasanii kuwa yoyote atakaefanya nyimbo na mimi hazitapigwa, vikao vinne mmeshakaa kunijadili.
Mnadhani je! nitapungukiwa nini endapo wasanii wengine wakiacha kufanya kazi na mimi?? nyimbo hazitakuwa nzuri.
Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni nani, Binadamu nani??
Kwahiyo mtaamrisha watu pia wasikae na mimi??
Ilikuwa niseme majina matatu huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.
Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu.
Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma??
Roho gani hiyo??
Naishia hapo na sitabatilisha kauli yangu
JIDE
Siyo kama anadai ana kipaji fact ni kwamba anacho kipaji na kama Clouds wanadhani wao ndio wanawapa watu vipaji basi wachukuwe mabinti zao wawape hivyo vipaji ili pesa irudi nyumbani.
Mimi siku zote napinga dhulma na nitabakia kuwa hivyo, naipinga CCM kwa sababu ya dhulma kwa Watanzania the same thing anachofanya Kusaga na Maharamia wenzake, hili halikubaliki, badly mtuhumiwa mwenyewe ndio rafiki wa Rais wa nchi unategemea Jide afanye nini zaidi ya kutufahamisha public?
Sawa. Lakini, tokea mwanzo, she was all "swinging" when she was winning with those fellas, lakini ghafla baada ya ku-fall out nao in purely business matters, anaanza kuwalaani na kutafuta huruma na support ya umma.
Hakuna jipya hapa, na ukweli this is typical of young girls' behavior.
Anataja tu pesa na kukua kwake kibiashara, na watu kumuonea wivu.
Mbona wanamuziki wengi wa kweli walikufa maskini na bila kulalamika kuhusu pesa?
Mara aanzishe maji ya kunywa yenye jina lake, mara afanye sijui nini kutafuta hela tu na umaarufu, lakini kipaji cha kweli kimuziki ni kiduchu; hata back-up singers wa bendi za dansi enzi zangu wamemzidi uimbaji maradufu.