Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

daaaaaaaa kauli za ujasili kama hizi wangekuwa nazo viongoz wetu wa serikali tungefika mbali sana
 
Unajua nashindwa kuelewa yule dada analalacholalamika ni nini hadi dakika hii? au mmewe ajalipwa marupurupu labda aliporesign.....katika wasanii wakubaniwa yule ajabaniwa kabisa ila tuuu muda wake ushakuwa magharibi tukubali tu kachuja....aafanye shughuli nyingine kama hilo picha lake la EATV na biashara nyingine.
 
ashakuwa alijojo tena...
 
ashakuwa alijojo tena...

Hivi huyo mdada hana album mpya kweli inayotoka hivi karibuni?

Nauliza maana hawa wasanii huwa wana sifa za kuanzisha mabifu bifu pindi wakaribiapo kutoa albums mpya kwa matarajio ya kwamba attention watakayopata kwenye bifu itasaidia mauzo ya album.
 
Ana album mpya itaanza kuuzwa this week nadhani, kama sio next week anapofanya 10 yrs annivessary toka aingie muzikini. Ina nyimbo nzuri...kuna moja ya joto hasira. Na msuto mmoja wa kama wanaume kama mabinti unaitwa 'yahaya'.
 
See, I had a feeling all this beef or whatchamacallit wasn't for naught.
 
Pole jide.
Daima kumbuka 'mungu akiwa upande wako ni nani aliye juu yako'?
Neno hili lisimamie na utashinda.
 
Pole jide.
Daima kumbuka 'mungu akiwa upande wako ni nani aliye juu yako'?
Neno hili lisimamie na utashinda.

Angemjuwa Mungu na kumtumaini asingeita Mganga wa kienyeji ili ampunge jini mahaba alilokuwa analipa mambo mixer kulikatikia uno Day and 9t...
Bibi ana balaa huyo dah
 
Tena ukiona msanii anatengeneza Scandal then anaiambatanisha na ujio wa Albam ujue tavene malaika kila lenye mwanzo alikosi kuwa na mwisho...ashaishiwa huyo
 
Waswahili husema 'YALIYOPITA SI NDWELE'
Wakristu husema 'Tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya'
Mungu humsamehe mtu akikosa na kumhesabia haki.
 
Angemjuwa Mungu na kumtumaini asingeita Mganga wa kienyeji ili ampunge jini mahaba alilokuwa analipa mambo mixer kulikatikia uno Day and 9t...
Bibi ana balaa huyo dah

Lol, umenivunja mbavu jamani kha!!
 
Mwenye picha ya Kusaga hebu atupie nimjue.
 
Unajua unacho kisema?
Kama waliweza kumfikisha hapo mbona jiwe hawawezi kulifikisha hapo?
 
Wakati mwingine mtu unaweza kuchelewa kuuliona jambo kwa sababu zozote zile lakini unapoliona na kulikosoa hatukuhukumu kwa kuchelewa kuliona, sababu huo ni ubinadam.
 
Mzimu wa kuvunja ndoa halali ya gadner utamuandama hadi siku atakapotubu, amesabababisha mateso makubwa sana kwa mwanamke mwenzie, malipo ni hapahapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…