Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kasema wamekuwa wanafight sana kukata mirija yake ya fedha. Inaonekana this time around wamegusa ule mrija mpana zaidi maana hili povu sio la kawaida
Nikiangalia thread inaonyenya ina miaka 5 nyuma tangu jide kutoa hayo malalamiko
 
Aisee, JF ni kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime'note hiyo "kila kitu mnamsingizia Ruge peke yake,lakini Kusaga ni mfitini zaidi ya Ruge".
Sasa Kusaga mbona huwa hasemwi kama anavyosemwa Ruge?
 
mambo yamekuwa mengi
 
"
Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu. Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige mawe Enyi mtakaokuwa hai baada yangu.
"
Mmmmmmmmmmmmh maneno mazito sana.

Moja ya mtihani mgumu aliyotupa binaadamu ni kusamehe na kusahau na ndio maana kipimo unachotumia wewe kusamehe wenzako ndicho hicho kinatumika na Mungu kukusamehe dhambi zako.Ila tatizo sisi binadamu ni viburi na jeuri na ndio maana wengi wetu ni wagumu kuomba msamaha na kusamehe na hata tukisamehe bado tunakuwa na vinyongo (nimekusamehe lakini sitokusahau) ,mwisho wa siku mtashindwa kuzikana.

Tunapokosea tuwe wepesi sana wa kuomba msamaha kwa kutumia njia sahihi za kumfuata muhusika uso kwa uso ,ikiwezekana ukiwa na wasuluhuhishi na si kutumia hizi social media na vyombo vya habari na wewe unayeombwa msamaha usamehe wala usiweke kinyongo au si ile "nimekusamehe lakini sitokusahahu".

Vile vile hizi nafasi zisitupe kiburi na ujeuri na kujiona mungu watu kwa kuwakandamiza na kuwadhulumu wengine bali ziwe kwa ajili ya kuwasaidia wengine kwani huwezi jua msaada wako unaweza toka kwa yule uliyemdhulumu au kumkandamiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…