Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa


Mie alinikera kwa Fina Mango...........daah, inaumaa !
 
Kuna ushahidi wa wao kusiliba zaidi ya maneno tu ya watu?

Kuna mshkaji yeyote kwenye kampuni yoyote ile anayetoa udhamini ambaye walim-lobby akafuta udhamini?

...wamemuwangia kwenye kipindi chake cha EATV, na wana wanga kwenye Hotel inayopigia. Madogo wote wanaomba collable naye wamepigwa bit kuwa hawatarushwa hewani.
 
acha ubishi wewe... mambo yote hadharani, muulize zamaladi mtoto wake baba ni nani hakuna jibu..... mpaka chet cha mtoto kaandikwa ubini wa mama.

Cloud ni wazuri, tatizo ni kujifanya wanajua kila kitu.....

..........watu wengine hawana taste ! .....sasa pale kala nini mzee mzima ?
 
...wamemuwangia kwenye kipindi chake cha EATV,

Wamemuwangia kivipi? Ni nini hasa walichokifanya kuhusiana na hicho kipindi chake EATV hadi useme wamemuwangia?

na wana wanga kwenye Hotel inayopigia.

Wana wanga kivipi? Wanaenda na kuweka ndonga ama?

Madogo wote wanaomba collable naye wamepigwa bit kuwa hawatarushwa hewani.

Akina nani hao madogo? Na nani kawapiga bit? Na huyo aliyewapiga bit kawaambia nini hasa? Na wapi na lini aliwapiga hiyo bit?
 

kaanza kunyonywa lini? Miaka 10 kwenye muziki, clouds wamekataa kupiga kwaya zake anajifanya ame-chukia, .aende zake na unafiki wake, alikuwa wapi VINEGA wakitangaza waziwazi kuwa hawakubali unanyonyaji wa clouds?hakujali sababu kwaya zake zilikuwa zinapigwa...? jide mnafiki sana.. Anajiangalia peke yake,hio ndio sababu hawezi kuungana na msanii yeyote ili kupigania haki za wasanii,yeye hana tofauti na Mwana FA.. Wote wanafiki
 
naona Mod ameamua kuhamisha hii thread yangu,fair enough ,ujumbe umefika..Bila umoja wa wasanii wa bongo fleva wenye nguvu watabaki hivyo hivyo.
 
Mode na wewe acha unafiki, kuna uhusiano kati ya thread yangu na hiyo uliyoniunganisha nayo?
 
[h=2]WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA[/h]
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi
Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa.

Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha , ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari.

Nasimama na kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki.

Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yangu bila kuburuzwa.
Wanapita kila mahali kuhakikisha kila mrija unaoniingizia chochote unakatika, na hiyo ni kutaka kuuthibitishia umma wa Tanzania kuwa hakuna msanii anaeweza ku survive bila wao.

Mimi ni msanii tofauti na hao mnaofikiria.

Nadhani mnafahamu tangu niachane na Tuzo zenu mnazo influence nani apate nani asipate, na tangu niachane na Fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na kuamua kuunda Band ili nijiajiri na kupata shows zangu mwenyewe, ikafanikiwa sana jambo ambalo limewauma na kuamua kufanya kitu cha kuiangusha Band yangu.

Nita survive kwa njia zozote MUNGU alizonipangia.
Wakati bado wote tunapumua na kwakuwa watu hao hawanipendi kabisa, Naamini fika hawataweza kunipenda hata siku nitakapokuwa nimekufa.

Na huu ndio wosia wangu kwa watu hao.
Natambua wanaweza kutumia redio yao kutangaza sana kifo changu na kusema marehemu alikuwa mtu mzuri na pengine kupiga nyimbo zangu kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Ila naomba nitamke hivi, siku nikifa CLOUDS FM isipige nyimbo zangu, wala isiongelee lolote kuhusiana na kifo changu.

Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga wasihudhurie msiba wangu, na mkiwaona muwapige wame
Enyi mtakaokuwa hai baada yangu.

Kama wamenifitini, na hawajanipenda nikiwa hai
Hakuna haja ya kujifanya kunipenda nikiwa marehemu.
Sina haja wanipende pia kwakuwa mimi sio ndugu yao, Ila ubaya wanaoundeleza mioyoni mwao wanaujua na nina hakika nafsi zao zinawasuta pia.

Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na kufanya biashara zangu, nimekaa kimya watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa chochote sikutaka ugomvi haya mambo yalianza baada ya Album yangu ya pili ya Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge.
Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi kuwaka.

Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia..
Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..

Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??.
Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.

Mnawatishia wasanii kuwa yoyote atakaefanya nyimbo na mimi hazitapigwa, vikao vinne mmeshakaa kunijadili.
Mnadhani je! nitapungukiwa nini endapo wasanii wengine wakiacha kufanya kazi na mimi?? nyimbo hazitakuwa nzuri.

Basi sawa ngoja tuone MUNGU ni nani, Binadamu nani??
Kwahiyo mtaamrisha watu pia wasikae na mimi??

Ilikuwa niseme majina matatu huyo mmoja nimemsamehe baada ya kugundua sio hiyari yake ila yuko under influence ya hawa jamaa wawili.

Kila siku mnamsingizia Ruge peke yake Kusaga ni mfitini kuliko hata huyo Ruge, watu hamjui tu.
Mtu hela zote hizo bado shillingi mbili ya Jide inakuuma??
Roho gani hiyo??

Naishia hapo na sitabatilisha kauli yangu

JIDE

Source: Wosia wa JIDE
 
Wakati wanawaonea wengine enzi hizo yeye anabebwa alikuwa kimyaaaaaaaaaaa anafurahia kupandishwa chati na kuimba yeye sio hivyoooooo.

Sasa mambo hayamuendei ndio anaongea kusema wako hivi vile, ulikaa kimya kwanini ukaangalia akina sugu wanalalamika na wengine nyimbo zao zilikuwa hazipigwi, wewe ulisikika kila saa sasa eti hivi vile.

Hana wa kumbeba sasa ndio maana anaongeaaaaaaaa akalale mbele.

Wala sitetei yeye wala clouds naongea yeye jide kwa aliyoyaona na kunyamaza kisa pesa.
 
Hawa jamaa ni walafi na zulumati...wana wanyoya sana wasanii na kurudsha x
nyuma mzki we2 ona leo hii proffesa j nae hapgwa radion ksa kaimba na jayde...angali anord kayanda alifukuza kazi na ruge sabab alikuwa anatembea na racho mtoto wa tht ambaye ni hawara wa ruge...angalia pale tht ruge kazaa na wasani .watoto wadogo wa 3 wanamimba za ruge...hv jiulize kwanini huyo jo kazaa na zamarad unadhan radio itakuwa na nidham...pale ni chuo cha umalaya .......angalia wale mashoga wa kipnd cha mchna wanavyo2kana radion hv tcra hawasiki ama ?... Leo diamond kamwacha rahkee aliekuwa manager wake kaenda kwa ruge sasa ndo manager wake... Ona ben poul katshiwa kutopgwa radio nae kamkimbia duke na patric kaenda kwa ruge ili wakanyonywe jasho lao....leo mtoto mdogo kama ben paul anamtuka lady jaydee mtandaon
 
Hakuna mwanamke jasiri kama Jide; Umeeleza ukweli mtupu, wengi wanaogopa ukweli,
ukweli unauma na kutabahanisha, hongera dada Jida, kila la kheri
 
Hivi wale majamaa wa xxl ni mashoga kweli au chuki tu I mean wakina z twelve na wenzake
 


kimbiza hao...
Ukiona pumzi inakata ni PM Kaka niko pmj na wewe.
Haya mambo ya kulishwa ubaya yatatufikisha pabaya sana.
Aweke hadharani fitna zoote na uthibitisho ili tujue mbivu na mbichi.

Haya mambo mtu wa mwisho kutuokota alikuwa ni Nyerere aliedai eti Iddi Amini ni Dada na anakula nyama za watu.
Mara Iddi Amini ni Joka.

Tanzania ya leo inaishi kwa fact
 


Pakaa dawa Kalou...
Siogope kelele za mgonjwa.
Huo ndo ukweli yakhe
 
Hakuna mwanamke jasiri kama Jide; Umeeleza ukweli mtupu, wengi wanaogopa ukweli,
ukweli unauma na kutabahanisha, hongera dada Jida, kila la kheri


Hakuna mwanamke jasiri kama Aifia Saidique...
Mwanamama pekee katika kundi la Al-Qaeda ambaye ameshashirika mipango kadhaa ya milipuko Ulimwenguni kote.

Huyo makengeza ni mchumia tumbo na ni mnafiki mkubwa.
Na akae akijuwa vita bila umoja ni sawa na kufanya mipasho tu.
 


Well u sayed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…