Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ulikuwa na haraka ya wapi vile?Mnyama TID anadai alipwe miliion ishirin kabla hajawapeleka kuwalaza central Quick lock kwa wiz wa nyimbo yake aliyoiba ambayo mnyama anadai hapo awali hiyo nyimbo iliweza kubeba tuzo mbili habal kamili nakuletea
Hapana ile nyimbo ni kubwa sana inatunzo mbili had mda huu tuzo moja ya nyumban na nyingine ya kimataifa ambayo mnyama aliichukulia kenyaNyimbo yenyewe utakuta haina ata hati miliki alafu mtu anadai milion 20, mwisho wa siku atawalipa yeye hela ya usumbufu kutokana na heka heka za police, nyimbo tangu itoke haijaingiza ata milion 10 alafu upewe kizembe tu 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo nae na akili zake za ki cocaine akapumzike kwa mamaake huko.
Ohooooo!!!Huyu kijana inamaana karudi tena kwenye unga si alisimaa jukwani na kueleza Watanzania hiyo kitu ameacha.TID apelekwe sober house.Hali yake ni tete
anhaa sawa mkuuIpo nyimbo yake inaitwa watasema