Mtoto wa kiume akishaanza kuandika maneno ya kijinga yanayotumiwa na wanawake waliokosa stara ambayo hata wanawake wanaojitambua hawawezi kuyatumia huwa naanza kuwa na wasiwasi nae...mwanaume utamke “umenichamb*" hadharani sio ushoga huo?
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Hilo nalo linatafuta kiki tu. Linajikuta na lenyewe kichwa. Sasa mama mtu hapo anaingiaje.? Akili shida anafikiri kama mwanamke nayeye. Awaache wanaume wapambane wenyewe.