Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema hana akili?Shida labda iwe 2025, usifananishe ushindi wa Magufuli wa haki na siasa za hovyo kwengine kwenye bara.
Tanganyika uchaguzi 2020 Magufuli alishinda. Sababu za kuzima labda ilikuwa kuzuia upotoshaji wa wahuni tu.
Shida labda iwe 2025, usifananishe ushindi wa Magufuli wa haki na siasa za hovyo kwengine kwenye bara.
Usiniwekee maneno, hakuna sehemu nimeandika yeyote hana akili, mleta mada au hao Frelimo.Umesema hana akili?
Walau unakubali hakukuwa na wakumshinda Magufuli 2020...kosa alilofanya Magufuli 2020 ni kuiba kura, na kuvuruga uchaguzi ambao alikuwa na uwezo wa kushinda kihalali.
Nchi ambazo zilianza na ukominist baada ya Uhuru huaga zina demokrasia bandia, haziamini katika uchaguzi huru, ni Zambia pekee yake ndio wameondoka na ujinga wa kulinda chama badala ya kuilinda nchi. Msumbiji is one of them, Tanzania ndio baba yao.Mkuu, ulikuwepo kwenye kuhesabu kura hadi kujua kuna mshindi wa tume na asiye wa tume?
Unacceptable? You've got to be kidding!Iła kumlinganisha Magufuli na upumbavu wa Africa hilo ni unacceptable.
Nitakacho kwambia sina mpango wa kupoteza maisha yangu kishamba.Unacceptable? You've got to be kidding!
Mapenzi ni kikohozi, hayawezi kufichika...ukipenda chongo utaita kengeza.
Utamtofautishaje John Pombe Magufuli na Jean Bedel Bokassa?
Utamtofautishaje John Pombe Magufuli na Francisco Macías Nguema?
Utamtofautishaje John Pombe Magufuli na Mobutu Sese Seko?
Hakuiba kura, ALIIBA mfumo wote wa Uchaguzi..Hakika ilikuwa AIBU KUU!..kosa alilofanya Magufuli 2020 ni kuiba kura, na kuvuruga uchaguzi ambao alikuwa na uwezo wa kushinda kihalali.
Kwa post hiyo, uwe walau umejenga kwa sasa wewe mwenyewe. Maana wenzako wameshiba mmpaka wanawajengea ndugu zao wa mbali.Hakuiba kura, ALIIBA mfumo wote wa Uchaguzi..Hakika ilikuwa AIBU KUU!
See what I mean? Anayejua ni wewe tu Mayor Quimby and so did Magufuli!Hujui tu kinachoendelea Tanzania kwa sasa,
If you are in the know circle, you would have known.See what I mean? Anayejua ni wewe tu Mayor Quimby and so did Magufuli!
Tayari..nipo Kwediboma huku..sijui mwenzangu umefikisha ngapi??Kwa post hiyo, uwe walau umejenga kwa sasa wewe mwenyewe. Maana wenzako wameshiba mmpaka wanawajengea ndugu zao wa mbali.
South Africa wametangaza kufunga mpaka wao na Msumbuji.Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa.
Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa.
Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia.
NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020