Kimenuka UDSM, wanafunzi wanaandamana; FFU wako tayari....

Hivi hao FFU walishawahi kuwa na watoto wanaosoma Vyuo Vikuu? maana nina uhakika hao hawajawahi kwenda chuo

Wao wenyewe hawakwenda na watoto wao hawaendi,kwa hiyo hawaelewi kinachoendelea.
 
hii nimeipenda, kwa hiyo una maana hao polisi wenyewe hawapitii kwenye mfumo huo!? Sasa naanza kupata picha
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea
Hivi hao FFU walishawahi kuwa na watoto wanaosoma Vyuo Vikuu? maana nina uhakika hao hawajawahi kwenda chuo
 
Nchi ina wenyewe wadanganye waone kilicho msababisha slaa ajifiche kwenye spika.Siku ya uhuru si ulionyeshwa hazina ya silha tulizonazo
 
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea

MBONA: Huu ushauri unawahusu WABUNGE wa bunge la Makinda huko mjengoni Dodoma? Na POLISI hao WANGE ELEKEZWA wakawafanyie KAZI wabunge wasioisha kudai POSHO!! ...Lakini nafikiri POLISI na FFU hawatawaweza Wabunge sugu wa kudai posho ... Labda JESHI ... la NATO!!
 
acha wadai haki yao nchi hii itakombolewa na watu wanaojitoa mhanga
 
Kati ya Vyuo ambavo huwa naamini wakikunjika wanafanya kweli ni UDSM peke yake nchini hivi vingine ni lupepo tu.
 
Tunaomba more update ya kila kinachojiri...
 
Kuna agenda ingine.
Wanafunzi wa Chuo cha Uhandisi na Teknolojia hawajapata hela yao ya kujikimu.
Kwa sasa masomo yamesimama na FFU wako nje ya geti la chuo tayari kwa lolote.
 
Ndio maana nasema wasomi wa siku hizi ni mzigo kwa taifa wakitoka hapo hamna ki2 kazi kuzurura kusubiri kuajiriwa,hawakai hata kidogo kufikiria maisha baada ya chuo kikuu.....period:nerd:
 
Hata sita alifanya haya mambo,even mr MsOgA,
acha waandamane
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea
 
Watoto wa siku hizi kusoma hawataki kazi kudai hela tu hakika mbeleni tutakuwa na taifa hovyo kabisa polisi hebu fanyeni kazi yenu......watazoea

we mjinga nini? Unafikiri tutasomaje bila pesa?
 
Hivi hao FFU walishawahi kuwa na watoto wanaosoma Vyuo Vikuu? maana nina uhakika hao hawajawahi kwenda chuo

atakuwaje na watoto na kazi yao hairusu kuwa na familia kutokana utaona huruma..
 
Mnatakiwa muwatowe roho hao polisisiemu kama wawili tu ndipo mzee wa mjengoni ataamka,bado kalala hajui kinachojiri kwa wapigakura wake.
Wamekwisha watoa roho sana mbwa hao lakini huwa haitangazwi, hivi unafahamu kwamba vurugu za Mbeya polisi walichinjwa sana lakini walichukuliwa sana na hakuna kiongozi aliyetaka itangazwe ndiyo maana ikawa kimya maana hakuna aliyeweza kupata uthibitisho wa kuuawa polisi, na inafanyika hivyo kwamba polisi wasije wakakata tamaa wakiona wenzao wanauawa na wananchi hivyo wawe na morali ya kutumika kama mipira ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…