Moseley
Senior Member
- Jul 10, 2010
- 187
- 98
Je, Habari Leo wamegundua kuwa wanampa umaarufu Dr Slaa kwa kumwandika vibaya?? Maana ukifungua gazeti lao kwenye website yao, kwenye habari zaidi, zile heading zilizokuwa zinamchafua Dr Slaa wamezinyofoa... Je, wamegundua kuwa wanampa umaarufu bila wao kufahamu??
Ni mtazamo tu, Nawakilisha.......
Ni mtazamo tu, Nawakilisha.......