INONGA: MKATABA WANGU UNAISHA 2024 NA SIO 2025 KAMA INAVYODAIWA
"Mimi siujui huo mkataba wanaousema wao mimi navyofahamu ni kwamba Mkataba wangu unamalizika msimu huu na hivyo ndivyo ilivyo, hili jambo lipo kwa Wanasheria wangu kwa sasa nipo Ufaransa kwa Mapumziko." - Henock Inonga Bakah

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2998084