Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli.
Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025.
Mbowe yupo nyumba ya wakati, kizazi cha sasa sio cha miaka ya 2009 badala ya kuelewa yeye kashupaza shingo
Ilitosha hotuba ya Pambalu imuamshe kutoka usingizini badala yake yeye anajiona pesa ya mama Abdul itawafanya yeye na Wana CCM wenzake waliopo CDM kushinda uongozi