Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

Vijana wa hip-hop wa kisasa muziki umewashinda wanatapatapa tu kutafuta skio.
 
Nmesikiliza kalibia dakika mbili za matusi hakuna cha maana kelele nyingi mnaoijua hip hop mtanielewa ninachomanisha
Hujui chochote kuhusu hip hop.

Saaana, unaonesha ulivyo shabiki msukule.
 
Attachments

  • IMG_20230112_154932.jpg
    IMG_20230112_154932.jpg
    26.9 KB · Views: 11
Dizasta round hii akijibu sidhani kama dogo anaweza kuendelea
Kijana u-young unamharibu ameshindwa kujua maana ya diss track ye ni kutuma matusi from the beginning 😂
Ukijibu kitu ukiwa na hasira inakuwa ngumu kufanya kitu cha maana
 
Kijana u-young unamharibu ameshindwa kujua maana ya diss track ye ni kutuma matusi from the beginning 😂
Ukijibu kitu ukiwa na hasira inakuwa ngumu kufanya kitu cha maana
Mi napenda hii battle iendelee na ikiwezekana wengine waingilie ili kuifamya game ichangamke zaidi

Najua hivi vitu wanavyo chanana sio personally
 
Back
Top Bottom