Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

Vijana wa hip-hop wa kisasa muziki umewashinda wanatapatapa tu kutafuta skio.
 
Dizasta round hii akijibu sidhani kama dogo anaweza kuendelea
Kijana u-young unamharibu ameshindwa kujua maana ya diss track ye ni kutuma matusi from the beginning πŸ˜‚
Ukijibu kitu ukiwa na hasira inakuwa ngumu kufanya kitu cha maana
 
Battle za wana hip hop zipo hadi kwa mashabiki kila mmoja akijinadi mwenzake hajui hip hop yeye ndiye anaelewa hip hop.
Utasikia wale wanaojua hip hop ndio watanielewa.
πŸ˜‚πŸ’ͺ
 
Kijana u-young unamharibu ameshindwa kujua maana ya diss track ye ni kutuma matusi from the beginning πŸ˜‚
Ukijibu kitu ukiwa na hasira inakuwa ngumu kufanya kitu cha maana
Mi napenda hii battle iendelee na ikiwezekana wengine waingilie ili kuifamya game ichangamke zaidi

Najua hivi vitu wanavyo chanana sio personally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…